MSINUNGUNIKE

Kunazo aina mbili za ufahamu katika akili za wanadamu ambazo wanazitumia kuishi vile wanavyoishi. Hizi fahamu ni tofauti na zinapingana. Kwa hivyo, haziwezi kutumika zote kwa wakati mmoja. Mungu alituumba tukiwa na uhuru wa kuchagua moja kati ya hizi mbili. Ni ufahamu ule mtu anaochagua ambao anautumia kufikiria, kuwaza, kupanga na kutenda kama namna yake…

Read More

WEWE NI NANI?

Siku moja, nilienda kwenye kikao cha majirani ambao sio wa kanisa. Kufika pale, nilikuta watu wa kile, wanaita viwango tofauti vya kimaisha ( soma ujumbe uitwao, “viwanga vya wanadamu”, kwa maelezo Zaidi), wakiwa wameketi kwenye meza moja, huku kila mmoja akihadithia vile ameendelea, na ile mipango ako nayo kwa sasa ya kijiendeleza Zaidi. Maongezi yote…

Read More

IWENI WAANGALIFU( KESHENI)

Ni wazo gani uja kwa akili zetu tonaposikia hili neno la kukesha ama kuwa waangalifu? Inaweza kuleta wazo la kuangalia kitu, kumakinika, au, kujihadhari na kitu Fulani. Mungu katika neno lake na kwenye vifungu vingi anatuihimiza kuwa waangalifu, au kujihadhari katika maisha yetu. Ni kitu gani hasa ambacho Mungu anataka tukeshe kwacho? Wakati tunatazama au…

Read More

KUISHI BILA VIKWAZO

Tumewahi kushangaa ni kwa nini akili ya mwanadamu ufikiria, na kuwaza juu ya mwanadamu mwenzake au vitu( mali) kila wakati? Tumewahi kujiuliza ni kwa nini hatuna mambo yoyote ya kufikiria nje ya mwanadamu na mali? Watu wengi kati yetu ujihuzisha katika fikira na mipango ya kimaisha lakini hawakui waangalifu wa kufuatilia na kuelewa chanzo na…

Read More

MFUMO UNAOBOMOKA(b)

  Ni kitu gani tunachokishuhudia katika ulimwengu wa leo? Eeeh, tunaona nini katika jukwaa la kimataifa? ……uovu ambao ni kama mahali palipobomoka, palipo tayari kuanguka kama ukuta mrefu, ambao kuvunjika kwake uja ghafula mara moja. Naye atapavunja kama chombo cha mfinyanzi kivunjwavyo, akikivunjavunja asiache kukivunja, hata kusipatikane katika vipande vyake kigae kitoshasho kutwaa moto jikoni,…

Read More

MFUMO UNAOBOMOKA

Ni kitu gani tunachoshuhudia katika ulimwengu wa leo? Eeeh, tunaona nin katika jukwaa la kimataifa? ……uovu ambao ni kama mahali palipobomoka, palipo tayari kuanguka kama ukuta mrefu, ambao kuvunjika kwake uja ghafula mara moja. Naye atapavunja kama chombo cha mfinyanzi kivunjwavyo, akikivunjavunja asiache kukivunja, hata kusipatikane katika vipande vyake kigae kitochasho kutwaa moto jikoni, au…

Read More

MAKAO YA MILELE

Alipokuwa akitoka Duniani kwenda mbinguni, Kristo aliwaambia wanafunzi kwamba, anaenda kutuandalia makao.  Kila watu wanaposoma hiki kifungu kilichoko Yohana.14:1-3, karibu wote uelewa kuwa Yesu anatujengea nyumba za kukaa. Je, hivyo wanavyofikiria ni kweli? Eeee, hicho kifungu kinazungumzia kuhusu nyumba halisi kama zile tujengazo hapa duniani? Tunaposoma kwa makini, tunachokiona kikielezewa kwa biblia sio nyumba hizi…

Read More

ZAKA, NANI AWAJIBIKAYE?

Katikati ya kipindi cha waleodikia, watu ambao wana akili za shauku, ambao hawana uhakika wa kile walipokea kwa Yesu, ambacho ndicho wanapaswa kuamini, wengi kati yao wanadhania mambo kuhusiana na vile wanapaswa kumwabudu Mungu, na vile wanapaswa kumtumikia. Hivyo, wamefikia kufanya, “ kile wanachoonelea kuwa chema machoni pao-Mith.14:12”. Kwa hivyo, “ kila mmoja anatenda kulingana…

Read More

HUYU NI SHETANI!

Tunaishi katika ulimwengu ambao ni wachache sana wanaoufahamu. Muulize mtu ye yote yule kuhusu cho chote kile kihusucho maisha, majibu utakayopata yatakuwa ni ya kubahatisha tu; hayana uthabiti wo wote. Mashirika yetu ya uma yana tamaduni na mila zinazotumika kuongoza watu katika namna ya kuishi na kuhusiana wao kwa wao. Ukiziangalia hizi tamaduni na mila,…

Read More

HISTORIA YA DUNIA

Wengi wetu tunautazama ulimwengu wa leo kwa mshangao! Tunaona shughuli mbali mbali zikifanyika huku zikiitwa maendeleo. Tunashuhudia kuendelea kwa mabadiliko ya mitindo ya maisha. Bila kusahau masuala ya maisha ya kijamii pia. Tabia za watu dhidi ya wenzao zimebadilika sana. Mambo mengi katika jamii yanakwenda ndivyo sivyo. Kuna kuenea kwa magonjwa mengi sana na hata…

Read More