KUSUDI LA MWILI

Kama tungeulizwa ni kwa nini tuliumbwa katika huu mwili wa nyama na damu, tungepeana sababu gani? Tujiulize; ni kwa nini tuliumbwa katika huu mwili na tunapaswa kuwa tukifanya nini sasa ili tuifikie hilo lengo? Kabla hatujaanza kutoa majibu, ni vizuri kwanza tuwe na mambo mawili kwa akili zetu. Ya kwanza: wasomi katika utafiti wao wamegundua…

Read More

KIROHO CHA BIBLIA

                 Mungu ni roho. Hawezi kuonekana au kueleweka kupitia kwa hii akili ya kimwili isipokuwa iwe imeongezewa uwezo mwingine wa kiroho. Bwana wetu ambaye ndiye peke yake amewahi kuwa mbinguni mahali Mungu anaishi, na ambaye ndiye Mungu alimtuma kwa wanadamu ili awajulishe kusudi la maisha, anayathibitisha haya tunayosema hapa akisema, “  Mwanadamu wa asili hawezi…

Read More

KUZALIWA KWA WOKOVU

Mungu ni jamii ambayo wanadamu wote ni washirika watazamiwa( kwa maelezo zaidi, soma ujumbe wetu, “ Jamii la Mungu….”). Lakini, ili mtu aweze kuwa mwenyeji kamili, ni lazima azaliwe na Mungu mwenyewe. Kama ni hivyo , basi ni muhimu tuelewe ni kwa jinsi gani mtu anaweza kuzaliwa katika hiyo Jamii. Tunasikia wengi wa wale wasemao…

Read More

SIRI YA KUSHINDA

Kila mtu sasa hivi anapigania kuwa mkuu. Eee, watu kila mahali wanatafuta ukuu. Kulingana na vile mambo yalivyo, huu ukuu upimwa kwa yale mapato mtu amepata. Kunayo aina tatu za mapato ambazo ufanya mtu aonekane, ama kuhesabiwa kuwa mkuu. Ya kwanza, na ambayo ndiyo unayodhaminiwa zaidi ni utajiri, ikifuatwa na kiwango cha uongozi, na mwishowe…

Read More

UBATIZO

Wakati Yohana Mbatizaji alikuja akihubiria watu habari za kuja kwa Yesu mara ya kwanza,wote waliomwamini, “walitubu dhambi zao naye akawabatiza-Mat.3:6”.Kubatiza maana yake ni kuzika ndani ya kitu.Sio lazima iwe ni maji.Hii ni neno lililotafsiriwa kutoka kwa neno la kigiriki,ambayo maana yake ni,”kuingiza kitu ndani ya kingine mpaka kimefunikwa kabisa”.Kwa hivyo,waliomwamini,aliwaingiza ndani ya maji kwenye mto…

Read More

Jamii ya Mungu ambayo

Jamii ya Mungu ambayo ndio muumba wa anga yote, na ambayo iko na wenyeji wawili kwa sasa, yaani, neno , na Mungu- Yohana.1:1-3, inaishi yale maisha ambayo yameorodheshwa katika biblia( kwa maelezo zaidi, soma ujumbe, “Mungu wa pekee wa kweli”). Baada ya muda Fulani, hiyo jamii iliamua kuongeza wenyeji wake, kama wanavyoeleza katika hayo maandik…

Read More