MFUMO UNAOBOMOKA(b)
Ni kitu gani tunachokishuhudia katika ulimwengu wa leo? Eeeh, tunaona nini katika jukwaa la kimataifa? ……uovu ambao ni kama mahali palipobomoka, palipo tayari kuanguka kama ukuta mrefu, ambao kuvunjika kwake uja ghafula mara moja. Naye atapavunja kama chombo cha mfinyanzi kivunjwavyo, akikivunjavunja asiache kukivunja, hata kusipatikane katika vipande vyake kigae kitoshasho kutwaa moto jikoni,…