HISTORIA YA DUNIA
Wengi wetu tunautazama ulimwengu wa leo kwa mshangao! Tunaona shughuli mbali mbali zikifanyika huku zikiitwa maendeleo. Tunashuhudia kuendelea kwa mabadiliko ya mitindo ya maisha. Bila kusahau masuala ya maisha ya kijamii pia. Tabia za watu dhidi ya wenzao zimebadilika sana. Mambo mengi katika jamii yanakwenda ndivyo sivyo. Kuna kuenea kwa magonjwa mengi sana na hata…